FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Wakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama
Pole sana mkuu, upo chimbo gani leo?
 
Heshima kwenu mtani
Ikawe heri kwenu

Daima mbele nyuma mwiko⚽️
 
Uwanja umetapika, this is thiimba braza
 
Wana Siiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaaa
Siku ya leo ni ya motooo...
Bingwa wa Africa yanii timu namba moja kwa ubora Africa... na timu ya Tano kwa ubora Barani Africa wanakutana...miamba kabisa ya soka barani Africa...mchezo wa kufa na kupona...
Nawatakia kila la heri wana Simba wote....

HAIJAISHA MPAKA IISHE...
SIMBA NGUVU MOJA...
[emoji120][emoji120][emoji120] hallah
 
Wakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama
pole sana , Mungu mwema
 
Mungu wetu sote...Mungu saidia leo tufunge hawa waarabu tulale vyema
 
Attachments

  • JamiiForums-696826148_378x430.jpeg
    JamiiForums-696826148_378x430.jpeg
    140.3 KB · Views: 1
Wakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama
Pole mkuu, hizo moments huwa zinatokea maishani. Nakumbuka nikiwa form one nilikoswa na ambulance mpaka raia waliokuwa pembeni wakapiga kelele, hapo navuka barabara niingie home (ng'ambo ya pili).

Siwezi kusahau.
 
Mnyama El Shahat ndani ya nyumba, hatari.
 
Wakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama
Kua makini mkuu
Still tunakuhitaji
 
Back
Top Bottom