FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Sema mtani, Mpaka dakika hii ni bahati tuu haikua yenu ila mmejitahidi..

Huyu Al Ahly anafungika...,
 
Kwani hawa simba hawawezi kupata goli moja, nataka niwape wapate goli, odds zinahamasisha!!
 
Back
Top Bottom