FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Si kwamba hairuhusiwi kimbuka kashatanguliwa ni maamuz ya busara tu kwa mwamuzi kutoa advantage tu na sio kwamba haipaswi.
hakuna kitu kinaitwa busara mpira unaongozwa na sheria

hapa mwamuzi kafeli
 
Kibu kafakisha kinoma yani

Hata kwa msamaha wa magoti siwezi kumsamehe dhambi ile
 
Back
Top Bottom