FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kati aingie tu MZAMIRU.. sioni mipango ya Bakar Sarr
 
ukiwa ugenini huruhusiwi kupewa penati hii nimefahamu leo
Si kwamba hairuhusiwi kumbuka kashatanguliwa ni maamuz ya busara tu kwa mwamuzi kutoa advantage tu na sio kwamba haipaswi.
 
Back
Top Bottom