FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kati aingie tu MZAMIRU.. sioni mipango ya Bakar Sarr
 
Chama is Chama tu.

Hongera sana Chama unakipigaaa
 
Hayaaaaaa Kibu yeye na kipa maskini
 
SASA HUUU NDO MPIRA GANI HUU
AL AHLY ANAPAKI BASI DAKIKA ZA MWnzoni kabisa
 
ukiwa ugenini huruhusiwi kupewa penati hii nimefahamu leo
Si kwamba hairuhusiwi kumbuka kashatanguliwa ni maamuz ya busara tu kwa mwamuzi kutoa advantage tu na sio kwamba haipaswi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…