ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sisi hatujaonaKwenye ile kona huko wenzangu mmeonaje?
Kafunga njeKibu vip hapaa
hakuna kitu kinaitwa busara mpira unaongozwa na sheriaSi kwamba hairuhusiwi kimbuka kashatanguliwa ni maamuz ya busara tu kwa mwamuzi kutoa advantage tu na sio kwamba haipaswi.
Beki zetu hizi hamna kitu ni ahl tu Hawa a presha tena
Kiukweli nimekuambia kimasihara kwa ajili ya mpira wa simba. Then jitu linapaishaLinaaaaaapaaaaisha hili *****
atulizagi kichwa kabisa huyoHayaaaaaa Kubu yeye na kipa maskini
Kapiga miwa mrefuuuuKibu ndio mwenye uhai hapa