FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kila nikiangalia wachezaji wa sub sioni wa kuingia na kuimaliza game hapahapa kwa Mkapa
 
Hapa toa Sarr weka Onana apush,potelea pote.


Narudia Inonga ana ujuaji na masifa sana ndo maana goli likapatikana japo Hussein alijisahau akaacha mtu peke yake
 
Kabisaaaaaaa
Simba ya sasa imelala yoooooo!!!!
 
Nilijua tu,goli la mapema limetugharimu...mwarabu anamaliza game kwa mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…