Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nini kifanyike?Imekua machachari
Waarabu wamechoka kwa kazi ipi? Hapo wanawaachia tu mjichoshe wakilianzisha lazima mpasike zingine mbili.Shida sio waarabu kuchoka, tatizo ni kwamba hata hizo nafasi tunazopata kutokana na uchovu wao bado hatuwezi kuzifanyia kazi.
Nafasi nne za wazi ila hatuna goli hata moja, tunahitaji nafasi ngapi ili tufunge?
Inawezekana Hersi alikuwa sahihiMlikua busy na Mamelodi haya sasa
Mchezo mmeutawala nyie kwa kiasi kikubwa, Ahly wanacheza moves za mipango tu.Nilijua tu,goli la mapema limetugharimu...mwarabu anamaliza game kwa mkapa.
Umakini unahitajika hii mechi ni yetu kabisaShida sio waarabu kuchoka, tatizo ni kwamba hata hizo nafasi tunazopata kutokana na uchovu wao bado hatuwezi kuzifanyia kazi.
Nafasi nne za wazi ila hatuna goli hata moja, tunahitaji nafasi ngapi ili tufunge?
Watu hawajafuata mashambulizi uwanjani, wamefuata Magoli tena ya UshindiUto mnasemaje kuhusu haya mashambuizi ya Simba?
Ihefu ibaki?Hizi timu zinabidi kutolewa zote
Yanga wafungwe
Simba wafungwe
Timu za siasa
Umepata Link kiongozi?una link ya huu mtanange ndugu
Ni either game iishe 1-1 au Simba Sc apate ushindi wowote ule, vinginevyo tutakuwa hatuna matumaini tena.Game hii hata ikibaki hivi bado Cairo patachimbika.
Ongea kimpira mukubwa sio ushabikiModesta aliye failure Bundesiliga au yupi
Nimekuja kakaMtani usikimbie Uzi...
Pale golini kuna namna sio bure..ata hvyo kina Kibu na wenzake ni kama viwete malamamae zaoMchezo mmeutawala nyie kwa kiasi kikubwa, Ahly wanacheza moves za mipango tu.
Mmeshindwa kuzitumia nafasi, msitumie kichaka cha goli.
π€£ππππππππππ€£πππView attachment 2948538
Unaambiwa.....
Alitema mate mengi Cairo πAziz ki kwenye mechi ya Ahaly alifanya nin
Umeandika kiingeleza au kiswahili πππ€. Kwani wewe hujawahi kufeli kwenye maisha yako au mipango yakoπ πModesta aliye failure Bundesiliga au yupi