FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Leo sizioni post za Sold Out au siku hizi hamjazi uwanja.
 
Sasa kwani hio picha ni ya uongo?
Kama Una akili timamu utajuwa Ile picha ina hila ndani yake, kama ni hivyo basi unaweza kuchukuwa picha ya jiji la Dar Kwa drone kutokea mission Kota uone mabati ya kutu na vijumba vibofu mbele ndio utaona majengo ya kisasa.

Kila nchi kuna sehemu dunia na view nzuri, hiyo picha ya Al Ahaly ina hila na uhujumu Kwa Tanzania.

Tena hapo pembeni kuna Kambi ya Jeshi ya Twalipo kutoka ilikochukuliwa picha maeneo ya Temeke Wailes, jeshi wakati mwingine liwe macho ukikamata Kenge kama hizi unazipa discipline kama Putin anavyoyapa discipline yale magaidi ya itikadi kali yaliouwa innocent people Moscow.
 
Mkuu nimeshajiandaa leo baada ya ibada tuu najongea uwanjani na jezi nilikuwa nayo kitambo tuu


"Kwenye mkeka mpe al ahly with no GG"
Kolopwinho Mbumbumbu Wamatopeni Kolouzidad Watapigwa Kama Ngoma
 
Kitu ambacho sitakifurahia baada tu ya mchezo kumalizika; ni baadhi ya mashabiki wa timu fulani kuanzisha tena lile gubu na zogo lao la kuwakataa baadhi ya wachezaji, kocha Benchika na Mwenyekiti Mangungu.
 
Tutashinda lakini naogopa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mtihani wa Simba na Yanga upo kwenye kufuzu nusu fainali, lakini swala kushinda hata Kwa ushindi mwembamba liko palepale.

Tatizo ya hizi timu zote tunazocheza Nazi hakuna hata timu moja ya kumuingiza kwenye mfumo uwapige nyingi labda maajabu ya Mpira yatokee.

Maana Al Ahaly ukiwafunga goli kurudisha kwao siyo issue na hao Masandawana ukiwatandazia ball ni Sawa na nguruwe umempeleka kwenye matope ndio mchezo anaoenjoy.
 
Mkuu nimeshajiandaa leo baada ya ibada tuu najongea uwanjani na jezi nilikuwa nayo kitambo tuu


"Kwenye mkeka mpe al ahly with no GG"
GG ipo mkuu watafungana na kuchomoa harafu watapigwa goli la pili hilo watabaki kumlaumu kipa wao tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…