Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh!.... anyway mpira ni sayansi.Simbq itashinda magoli zaidi ya matatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!.... anyway mpira ni sayansi.Simbq itashinda magoli zaidi ya matatu
Tunatunza hii risiti....😂😂😂SIMBA NA YANGA NUSU FAINALI,WAKISHINDWA NIITWE MWAJUMA NDALA FUPI.
Magoli gani unazungumzia?Simbq itashinda magoli zaidi ya matatu
Mwajuma Ndalandefu Simba leo anaingizwa kwenye Pipa la Al Ahly saa 3 usikuSIMBA NA YANGA NUSU FAINALI,WAKISHINDWA NIITWE MWAJUMA NDALA FUPI.
Dah, nilichanganyikiwa sana.Mind game...
Kumbuka AFL mlitokaa sare Sasa sijui unamaana ganiMafarao wamekuja na kila kitu Hadi mapipa,
Wamesahau kuja na uwanja
Hiyo ni Mistake wamefanya,
Maana tukitumia uwanja wa mkapa hatoki MTU.
Hii ni official pre-match au? Kama ni hivyo basi nimewaonea huruma sana UtoKama mwana Yanga hii habari imenichanganya sana.View attachment 2948080
mind games hizo mwanaspoti iliripoti jana hao wachezaji tajwa hapo juu wote wameshawasili nawapo kambini na fit kwaajili ya mchezo ispokuwa yao yaoKama mwana Yanga hii habari imenichanganya sana.View attachment 2948080
Kwa ushirikiano na Ndumbalo kichwa panzyAhsante sana Mama samia
Kuziwezesha timu kufuzu
Hakika tunaona juhudi zako 🥴
Kwa ushirikiano na Ndumbalo kichwa panzy
Kwa hiyo mchukua picha alikuwa karibu na kambi ya jeshi na akafanikisha adhima yake?Kama Una akili timamu utajuwa Ile picha ina hila ndani yake, kama ni hivyo basi unaweza kuchukuwa picha ya jiji la Dar Kwa drone kutokea mission Kota uone mabati ya kutu na vijumba vibofu mbele ndio utaona majengo ya kisasa.
Kila nchi kuna sehemu dunia na view nzuri, hiyo picha ya Al Ahaly ina hila na uhujumu Kwa Tanzania.
Tena hapo pembeni kuna Kambi ya Jeshi ya Twalipo kutoka ilikochukuliwa picha maeneo ya Temeke Wailes, jeshi wakati mwingine liwe macho ukikamata Kenge kama hizi unazipa discipline kama Putin anavyoyapa discipline yale magaidi ya itikadi kali yaliouwa innocent people Moscow.
Hii hela angepewa jamaa hapo aipeleke isingefika.