FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

"Sitashangaa Simba akifungwa kama asiporekebisha makosa yake, Al Ahly hawezi kuja kizembe mchezo wa leo" Emmanuel Mwayombo Jr, Mchambuzi wa Soka katika kituo cha Radio Bongo FM
1711706113733.jpg
 
True True!!
Anachonishangaza ni kuwa ukimuwahi tu, anafuta post zote zilizomtangulia!

Akiwahi yeye anaunganisha uzi.
Na ndio kitu sahihi!!

Inabidi Admins wa JF wasiwe na Akaunti binafsi.

Kama wanataka hizi nyuzi za ball wazigenerate wao si kuna ile Akaunti ya Roving Journalist ndio itumike ili kuepusha double standard.

Mbaya zaidi mdau huwa anajitokeza kwenye game kubwa tu!! 😂😂😂
Mkuu Kwani kuna faida gani mtu anapata kwa kuwa wa Kwanza kuanzisha thread hapa? Maana naona inakuwa kama vita hivi, au mnalipwa ili na Sisi tuchangamkie hiyo fursa
 
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo 29/03/2024 saa tatu usiku.

Ungana nami katika uzi huu ili kupata matukio mbalimbali yatakayojiri kabla na wakati wa mchezo huo.

Karibu.
Itakuwa mara ya kwanza
 
True True!!
Anachonishangaza ni kuwa ukimuwahi tu, anafuta post zote zilizomtangulia!

Akiwahi yeye anaunganisha uzi.
Na ndio kitu sahihi!!

Inabidi Admins wa JF wasiwe na Akaunti binafsi.

Kama wanataka hizi nyuzi za ball wazigenerate wao si kuna ile Akaunti ya Roving Journalist ndio itumike ili kuepusha double standard.

Mbaya zaidi mdau huwa anajitokeza kwenye game kubwa tu!! 😂😂😂
Hivi kuna malipo boss?
 
Mtihani wa Simba na Yanga upo kwenye kufuzu nusu fainali, lakini swala kushinda hata Kwa ushindi mwembamba liko palepale.

Tatizo ya hizi timu zote tunazocheza Nazi hakuna hata timu moja ya kumuingiza kwenye mfumo uwapige nyingi labda maajabu ya Mpira yatokee.

Maana Al Ahaly ukiwafunga goli kurudisha kwao siyo issue na hao Masandawana ukiwatandazia ball ni Sawa na nguruwe umempeleka kwenye matope ndio mchezo anaoenjoy.
Umeandika ukweli ambao hata mwenyewe naingia nao kwenye mechi ya leo na kesho
 
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo 29/03/2024 saa tatu usiku.

Ungana nami katika uzi huu ili kupata matukio mbalimbali yatakayojiri kabla na wakati wa mchezo huo.

Karibu.
Mwarabu hatoki leo lazima jitu lifie kwa Mchina.
 
Masandawana wanakibarua kikugumu cha kutimiza lengo lao la kushinda wakiwa wamepiga pasi 1K. Mara ya mwisho zillishia 650.
 
Back
Top Bottom