FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

"Sitashangaa Simba akifungwa kama asiporekebisha makosa yake, Al Ahly hawezi kuja kizembe mchezo wa leo" Emmanuel Mwayombo Jr, Mchambuzi wa Soka katika kituo cha Radio Bongo FM
 
Mkuu Kwani kuna faida gani mtu anapata kwa kuwa wa Kwanza kuanzisha thread hapa? Maana naona inakuwa kama vita hivi, au mnalipwa ili na Sisi tuchangamkie hiyo fursa
 
Itakuwa mara ya kwanza
 
Hivi kuna malipo boss?
 
Umeandika ukweli ambao hata mwenyewe naingia nao kwenye mechi ya leo na kesho
 
Mwarabu hatoki leo lazima jitu lifie kwa Mchina.
 
Masandawana wanakibarua kikugumu cha kutimiza lengo lao la kushinda wakiwa wamepiga pasi 1K. Mara ya mwisho zillishia 650.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…