FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Sawa Mwanasheria na hongera sana😂
pole mkuu ndio mpira huu, unakuwa unawaza umepita yanga katoka inakuwa tofauti

najua sasa hivi dua yako ni bora tutoke wote ila haiwezekani
 
Kesho yanga anashinda.... Afu lawama zinaenda kwa Mangungu atuachie timu yetu🤭🤭.. nyenyeeeeeeee pyeeeew... Mwakarobo 😅
 
Timu ya simba ina matatizo yafuatayo;
Mgogoro wa kiuongozi
Usanii ktk kusajili
Usanii ktk kuongoza club
Kukosekana kwa umoja
Hakuna u- serious
n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…