FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Mehala kubra ni timu au madrassa hiyo? Zamalek ulimtoa kwa penati, ulimpiga naye akakupiga kwake, Cairo.

Ahly ushawah mpiga kama unavyojinasibu?

Kwaiyo ndo Kusema unayadharau Madrasa...!

Mbona We unataka Kuanzisha Vita ya Dunia humu...!? Sijui itakuwa ya ngapi?
 
Ila hawa wasemaji pamoja na kuhamasisha ila wanachangia pakubwa kutuaminisha ujinga

Ukisikiliza tambo za Ahmed Ally na kilichofanyika uwanjani ni mbingu na aridhi 😂

Ngoja tusubiri na kesho Yanga
Simba hawajacheza vibaya. Ahmed kazi yake kuhasasisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…