Insider Boy
Senior Member
- Aug 5, 2015
- 189
- 309
Hivi mkuu uran hii Mechi kwenye king'amuzi cha DSTV wanaonesha chaneli ipi?Mtani usikimbie Uzi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu uran hii Mechi kwenye king'amuzi cha DSTV wanaonesha chaneli ipi?Mtani usikimbie Uzi...
Hapana. Kila mtu anataka awe wa kwanza kutupia uzi.Siku hizi JF inalipa pesa kufunguwa thread?
HahahahChaneli ya KATUNI mkuu
Washa toa kafara huko vigwazaMwarabu fanya kweli, wameenda kuchoma vitu vyao uwanjani yan hawa jamaa hawajifunzi kabisa
Acha kunipangia humu mtani wanguAcha uchawi wewe
Oya hayupo onyango saivALICHOKIFANYA RAJA CASABLANCA NDICHO ATAKACHOKIFANYA AL AHLY
Wamekumbuka Shuka Kumekucha 😂😂Mlikuwa mnakesha kusifia masandawile kumbe nanyi mnacheza?
Hawa Wamatopeni Kolouzidad Wakikaa Vibaya Mambo Ya Hamsa Yanaweza KuwatokeaKila la kheri timu yangu😊😊😊
Al ahly piga mkono hao robo robo fc na huyo kocha wao kipipaLeo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo 29/03/2024 saa tatu usiku.
Ungana nami katika uzi huu ili kupata matukio mbalimbali yatakayojiri kabla na wakati wa mchezo huo.
Karibu.
Mkuu nimeshajiandaa leo baada ya ibada tuu najongea uwanjani na jezi nilikuwa nayo kitambo tuuHawa Wamatopeni Kolouzidad Wakikaa Vibaya Mambo Ya Hamsa Yanaweza Kuwatokea
Mapema kabisa SIMBA GUVU MOYA 👹👹👹Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo 29/03/2024 saa tatu usiku.
Ungana nami katika uzi huu ili kupata matukio mbalimbali yatakayojiri kabla na wakati wa mchezo huo.
Karibu.
Simba hii hii ya jobe na babacar wa mbagala ndiyo iifunge al ahly?Wanatoka.
A good thing tukishinda leo, na nyie kesho mnashinda.
Ndivyo huwa inakuwa hivyo.