FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Muda wa Ng'ombe kuingia machinjioni. Kibaya zaidi mnayama huyu atachinjiwa zizini kwake
 
Leo mshambuliaji wa mwisho ni Kibu D.
 
Mimi yanga damu, sema kwa leo ninaweka taifa langu mbele. Ninatabiri simba atashinda kwa kuongoza kwa bao 2, Yaani 3:1. Kila la kheri WATANZANIA leo. Mimi kauli mbiu yangu, ikipigwa nimeshinda, ikishinda nimeshinda. Kila la kheri Tanzania
 
Uwanja mtupu mpaka sasa mashabiki wameisusa timu 😀🤣😂
Uwanja gani huo ambao upo tupu mpaka sasa?

Kwanini inawauma sana nyinyi kuingiza mashabiki bure kiasi cha kutafuta faraja nyepesi kama hizi?
 
Back
Top Bottom