joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwa hizi picha wanazo post Azam sioni hiko kitu.Ngojea tuone labda wanafuturu.Mzunguko zimeisha mapema sana.
hivi hawa TTCL mbona Wifi yao ya hovyo sana kwa mkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hizi picha wanazo post Azam sioni hiko kitu.Ngojea tuone labda wanafuturu.Mzunguko zimeisha mapema sana.
hivi hawa TTCL mbona Wifi yao ya hovyo sana kwa mkapa
Pamoja
Asante sana Mkuu kwa taarifaMkuu confirmed TVE Channel #295 Dstv wataonyesha...
Leo ni Send-off, Harusi ni kesho mkuuSaa ngapi kupute. Simba ikishinda leo na Yanga atashinda kesho. Simba ni role model wa Yanga kwenye mambo ya msingi ya kimatifa
Kila la heri Makolokolo ili muwapatie hamasa Wanajangwani 30/03/2024 wawapige Mamelody Sundowns 2-0.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa nini unamuita bwana?Mh! Huyu bwana anachambua mpira!
Weka bando mkuuMzunguko zimeisha mapema sana.
hivi hawa TTCL mbona Wifi yao ya hovyo sana kwa mkapa
UnaotaUshindi upo 🦁
Yaani Gamond katania tu na wewe ukachanganyikiwa?Kama mwana Yanga hii habari imenichanganya sana.View attachment 2948080
MLeta Mada Usisahau kuweka hii kwenye Post
View attachment 2948461
Zingelipiwa Mzunguko.ingesoma Sold OutZimelipiwa.
Sawa ila Mbona Mzunguko.haijawa sold out
Utajinyea dogo kufuatilia ya watuUnaota
Hawawezi kukuekea hapo ila Leo watu mzunguko wengi tu wameingia BureSawa ila Mbona Mzunguko.haijawa sold out