ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Ya kesho anajua Mungu! Daima mbele💛💚Acha akandwe tuu, alizidisha mdomo. Was was wangu ni kesho tu, sina raha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kesho anajua Mungu! Daima mbele💛💚Acha akandwe tuu, alizidisha mdomo. Was was wangu ni kesho tu, sina raha kabisa
yamekuwa hayo tenaChama mpuuzi
Hakuna Goli pyeeeSimba iongeze presha goli lipo
Mimi nataka.magoli tuKibu kama Messi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee em tulia huko.Kona kwa Al Ahly tena
Wayaudi Hawa😂😂😂Mna uhakika hawa ni waarabu? Mbona blacks afu majayant kama watu wa West Africa,......
But wanajitahidi, wanarukaruka wanafika hadi goliniWamekoswakoswa tena
tumefika Final shirikisho!Kwani nyiee mmechukua kombe la nn? Mwaka makundi? Tena kwa ndondokelaa.
Huo utakuwa muda wa kulala na mie sio mlinziMuda si mrefu hatutakuona hapa