FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kwenye ile kona huko wenzangu mmeonaje?
 
Anakoswa koswa vibaya sana hapa muarabu wa afrika kaskazini huyu
 
Ukiangalia match hii utaelewa kwa nini mechi ya kesho ya Yanga inaongelewa sana.
Hawa jamaa waarabu wanapaki basi kiasi cha kupoteza radha.

Mamelodi tusitegemee mtu kupaki basi wala kushambulia kwa kivizia. Pale poli linapigwa mwanzo mwisho atakayelekea anakula bao za kutosha.
 
Back
Top Bottom