FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kanoute anaweza funga ila sio Saidou ambae mda wote Anaangalia chini 😆😆

Pili Simba wameishiwa akili na maaroga yaani wanalazimisha Kupita Katika wakati wangetumia pembeni Kwa mipira ya chini tena Kwa ku dribo.
 
Yani kipa wa Al Ahly kishaona hamna kitu, kweli chama kashika mpira....kipa kasimama tu na kweli mpira unatoka nje nyieeeee😢 nimelia sana
 
Back
Top Bottom