FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee utulizanee, keshoo kitakukuta kituu na hutaamini mfyuuuh. Kaa kwa hatuaa mwayaaa.
Nna jezi mbili, na zote navaa kwa pamoja nikiona vyura vimesombwa na maji navua nabaki na “UBUNTU BHOTO” 🤣🤣🤣
Sipendi stress mimi
 
Unachinja au unachinjwa?
20240328_004513.jpg

Mmechinjwa bandeko 😁😂🤣🖐️🖐️
 
Jamani atokee mzee saidoo, huyu anatunyima bao hapaa. Sijui likojeee hata
 
Back
Top Bottom