Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Ipi ya bara nje na afrika?Timu za kiafrika zikiwa ugenini utadhani wachezaji wanazibwa macho na wapinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi ya bara nje na afrika?Timu za kiafrika zikiwa ugenini utadhani wachezaji wanazibwa macho na wapinzani.
Yani hawana pureeeeshaaaa kabesaaa safii hiooAhly wanacheza kwa dharaaaaaaaau 🤣🤣🙌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nacheka hapa, eve em niache bhanaa. Kaa usubiri kesho maseko na shalulilee wafanye yaoo.Mabao mtapata usiku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnoooo yani kuna muda eti kipa anasimama tu, hajigusi wakati mpira upo kwa mwana5imba.....Ahly wanacheza kwa dharaaaaaaaau 🤣🤣🙌
Nna jezi mbili, na zote navaa kwa pamoja nikiona vyura vimesombwa na maji navua nabaki na “UBUNTU BHOTO” 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee utulizanee, keshoo kitakukuta kituu na hutaamini mfyuuuh. Kaa kwa hatuaa mwayaaa.
Bado kacheza vizuri kajitahidi kumficha Percy TauMohamed Husein Sasa uwezo wake ni kucheza ndondo
Mngeomba basi achezeshe Tatu Malogo.Na refa wakwao