FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Toa kibu toa mutale
Toa nzengeli toa dube
Kapombe acha ufala, panda baba unaogopa nini Hawa wepesi tuu.
Aziz tulia hapo kati Sasa hivi unapata goli au assist Hawa mabeki wanapapara ya kupata mpira kutoka miguuni mwako.
Pacome ukikimbia tena mtapata goli
 
Makolo wamekuja kwa kukamia ila kipindi cha pili kigigo kipo juu yao.

Max ⚽
Aziz Ki ⚽
Dube⚽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…