Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
anashinda njaa ubaya ubwera msikimbie uziSimba anashinda hii gemu.......
hiy picha vipii hapa ?Kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni π¦π¦π¦
Tuwakande hao Utopolo 2-1,
Nguvu MojaView attachment 3129235
Wewe kwa P Diddy wala hata hakuiti unaenda mwenyewe.Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga, watajipigia tu
SIku ya kushenyentwa
π€£Kariakoo Derby!
Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo?
Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12.
Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya dhidi ya Simba na hii ni kutokana na Quality ya kikosi cha Yanga lakini haiondoi uhalisia kwamba Simba nao wana kikosi kizuri hasa msimu huu ambao wametamba Kusajili vizuri.
Mechi ni Saa 11:00 Jioni katika dimba la Benjamin Mkapa
Live kupitia Azam Sports 1HD, TBC Taifa kwa idhaa ya Radio.
Soma Pia: Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko
View attachment 3129332
Tutawapiga kama ngomaKila siku kufungwa sisi? Hii ya leo hapana, tukapambane, all the best π¦π¦
Mtoto hatumwi dukaniKariakoo Derby!