Kariakoo Derby!
Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo?
Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12.
Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya dhidi ya Simba na hii ni kutokana na Quality ya kikosi cha Yanga lakini haiondoi uhalisia kwamba Simba nao wana kikosi kizuri hasa msimu huu ambao wametamba Kusajili vizuri.
Mechi ni Saa 11:00 Jioni katika dimba la Benjamin Mkapa
Live kupitia Azam Sports 1HD, TBC Taifa kwa idhaa ya Radio.
Soma Pia: Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko
View attachment 3129332