FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Weekundu wa Msimbazi huwezi kuchora?
Isiwe taabu!
1729231308772.png
 
Huyo Mkuundugu wa wekundu wa Msimbazi hajiwezi kama Ke mjamzito 😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ukiona mtu mzima anakimbilia kutukana maana yake hana namna nyingine ya kujitetea baada ya kushindwa hoja!! Simba 3 - 0 Yanga.
 
Usianzishe ugomvi wa mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo mtani 😁

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna tofauti kati ya kurushiana mawe na kurushiana utani!! Watoto wa juzi hawaujui utani wa Smba na Yanga matokeo yake wanarusha mawe! Ikitokea na upandew wa pili kuna mtoto pia hapo matusi yanatawala!! Bahati nzuri mbingunikwetu ni mtu mzima sana!! Ukimrushia jiwe anakurudishia utani:
Uto halisi vs Mnyama halisi
View attachment 3129595 0 - 3 View attachment 3129602
 
Ubinadamu ni kazi, leo mbona kinyonge sana
1. Simba alishafungwa mechi 3 mfululizo, leo hatakubali kuendeleza uteja.
2. Derby ndizo mechi zinazofukuzishaga Makocha wa Yanga na Simba, Simba hawako tayari kumpoteza Fadlu maana ni mzuri sana.
3. Hofu ya Simba ikiwa Yanga atakaa kileleni kwa tofauti ya 5 points akikamilisha mechi zake sawa na Simba, itakuwa vigumu sana Yanga kushushwa kileleni kimsimamo wa NBC PL 2024/2025.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom