Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Karis na Refa wamepanga matokeo tayari . Simba atabebwa Sana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni simba damu ila naungana wewe mkuu.Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga, watajipigia tu
SIku ya kushenyentwa
Dakika za jioooooni wananchi bado wanatamba kwa mkapa. Yanga hii utaifungaje?
Wananchi wanafurahi, taifa linafurahi. Ni daresalaaam Young africans tena
wanaendeleza walipoishia. Ni hapo baadae.
All the best Yanga bingwa 💚💛
Watalia na kusaga menoKila la heri simba
Kumekucha KumekuchaNAOMBA hata droo tu. Nimechoka na kichapo
Mimi nipo upande wa Yanga, ushaona najiita Simba ila nipo Yanga