FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Yeyote atakaye ruhusu bao kwa dakika hizi basi mechi itakuwa imeisha
 
Unajua anamtumia nzengeli kama engine yake ya kufukua mashimo ila leo kafeli Leo angemtoa tu Kisha akamweka mkunde Ili awe free kupiga kazi
Pacome alikuwa kashawakamata Hawa lunyasi maana alikuwa na forward runs nzuri sana
 
MAKOLO yatabebwa mpaka lini?
Lini watasimama wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…