FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Uzuri wa Simba kupoteza points tano ni kuwa TFF itakata tamaa kuibeba. Ni jambo la afya kwa mpira wetu.
 
Maana yake hapo kwanza nicheke[emoji23]

Hii Yanga unaifungaje?
 
Dakika za jioooooni wananchi bado wanatamba kwa mkapa. Yanga hii utaifungaje?

Wananchi wanafurahi, taifa linafurahi. Ni daresalaaam Young africans tena
wanaendeleza walipoishia. Ni hapo baadae.

All the best Yanga bingwa πŸ’šπŸ’›
We ni mganga wa kienyeji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…