Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapewa kazi kisa uzembe wa watu wengine kabisaTunampa kazi sana semaji.
Mkuu usiumie, kwa namna tulivyopata pigo la kufumua kikosi, na namna mpinzani wetu alivyojiimarisha ilikuwa ni ngumu mno kushindana nae, lakini angalau vijana wanaimprove kwa sasa, angalia tangu tupigwe goli 5 hii ni mehi ya nne magoli yanazidi kushuka, hii ni dalili njema sana kwa upande wetu na mbaya kwa upande wao, nasema hivyo kwa sababu wanazidi kushuka huku mashabiki wao wakikaza mafuvu eti hapa tunamfunga simba goli zaidi ya nne, tano, kumi na mautopolo mengine mengi wakati uhalisia wapo kwenye mtelemko.mechi ya leo kwa kiasi kikubwa tumeshinda kama sio refa na uzembe kidogo hapo kwa kipa na kajiri.Oyaa mzee baba hii imekuwa too much aisee! Hata droo zinatushinda. Aibu kubwa sana
Tutaambia nini watu🥲
Taambia mmefungwaTutaambia nini watu🥲
Sawa Nchambuzi nguli , furaha ni Kolo kufungwa tu.Max anashangilia na kufikia kutuonesha maneno ya kanga aliyovaa ndani as if lile goli kafunga yeye.
Azam nao mwanzo waliingia kichwa kichwa wakampa credit kwa kile walichokiona kwa Max.
Nimefungwa na nani?Sawa Nchambuzi nguli , furaha ni Kolo kufungwa tu.
Mpira ni dakika 90.Dakika za jioooooniiiiiiiiiii
Sasa bila yy kuwahi ule mpira huyo Kijili angejiweka vipi,Assist kwenye mpira ina maana sana ni sawa na kusema Max katoa Assist, Kijili kanogewa kajiweka.Max anashangilia na kufikia kutuonesha maneno ya kanga aliyovaa ndani as if lile goli kafunga yeye.
Azam nao mwanzo waliingia kichwa kichwa wakampa credit kwa kile walichokiona kwa Max.
Nani kakwambia faulo au penati ni goli?walitakuwa makolo wenzao wajipange vizuri golini Ili wasifungwe.😀😀😀😀kayoko kawapa faulo
Hewa
Tusuiri next time, tukifungwa tena itakuwa mara ya 5 mfululizo kama zile goli tulizopigwa siku fulani hivi siikumbuki.Anapewa kazi kisa uzembe wa watu wengine kabisa