Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Aiseee uchawi wa mvua kidogo umeonyesha matokeokimeshindikana nini kupiga izo 4?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee uchawi wa mvua kidogo umeonyesha matokeokimeshindikana nini kupiga izo 4?
Wapi na wapi OG ikawa na assist?Sasa bila yy kuwahi ule mpira huyo Kijili angejiweka vipi,Assist kwenye mpira ina maana sana ni sawa na kusema Max katoa Assist, Kijili kanogewa kajiweka.
Anaweza kuangamiza halaiki ya watu.
Ogopa sana mjinga mwenye confidence
Endelea kujinyoa na wembe wa Mr kick😂😂😂😂😂
Mbwa takataka nyie simba tupo vizuriTulia kijanaView attachment 3129937
Pumbavu😅😅
Kwani assist maana yake nini? Ile ni assists ila mpinzani ndiye aliyejifunga.Wapi na wapi OG ikawa na assist?
Nimeshangaa sana kuona eti ile ni faulo. Okejepha ameucheza mpira bila kumgusa mchezaji wa Yanga lakini cha ajabu imetolewa faulo.😀😀😀😀kayoko kawapa faulo
Hewa
Sawa mwanetuMbwa takataka nyie simba tupo vizuri
Kabisa mvua imepunguza mvua za magoli, sahivi atakua anaukweka huko 😹Hivi yule mnajimu Genta naye kajificha wapi? Ila ushirikina wao wa mvua umewasaidia kupunguza idadi ya magoli.
Nyie ni mbwa tuEndelea kujinyoa na wembe wa Mr kick😂😂😂😂😂
Dah!...roho ya vichapo bado inatuandama hapo msimbazi.NAOMBA hata droo tu. Nimechoka na kichapo
Tugange yajayo.Mbwa takataka nyie simba tupo vizuri
Pole sana chiefKushabikia kitu kinaitwa Simba mwisho leo. Kuna maisha mengine nje ya local soccer
Sawa utopolo waloziSawa Nchambuzi nguli , furaha ni Kolo kufungwa tu.