FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Sasa bila yy kuwahi ule mpira huyo Kijili angejiweka vipi,Assist kwenye mpira ina maana sana ni sawa na kusema Max katoa Assist, Kijili kanogewa kajiweka.
Wapi na wapi OG ikawa na assist?
 
Timu ni Nzuri sana WanaSimba Wenzangu......! Nimeiangalia kwa Umakini sana.

Tusije kujichanganya na kuwakatisha Tamaa Wachezaji wetu kwa Lawama...!

Tukubali Matokeo, Safu ya Waamuzi Leo waliingia na Ajenda maalum.

Na Wameitekeleza Kwa Ufanisi...!

Huu ndo mwaka tutacheka na kufurahi sana kwa Kikosi hiki.!
 
20240808_215818.jpg
 
Back
Top Bottom