FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Mzee ulikua unacheki boli kwa kutumia kifaa gani??
Kayoko sio kaibeba yanga, kahabribu mchezo kwa kubalance matukio.

Huna pa kujifichia mtani.
Azam tv wanakwambia "hakuna kisingizio"
Kabeba vipi? Ile ya Dube aibu tu pale VAR mnakula red.
 
Katika moment kama ile kipa hakujua kama mpira ulikuwa unaenda nje.

Alichokifanya yeye ni kuokoa hatari ambayo kwa wakati ule alikiwa katika position sahihi
Kipa hana kosa wala Kijili nae hana kosa mpira umemgonga mguuni ukazama nyavuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…