Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mzee ulikua unacheki boli kwa kutumia kifaa gani??Leo team imecheza vizuri, licha ya hili kosa la Camara na kijili . Sema pia Kayoko kawabeba sana Yanga.
Kayoko sio kaibeba yanga, kahabribu mchezo kwa kubalance matukio.
Huna pa kujifichia mtani.
Azam tv wanakwambia "hakuna kisingizio"