BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Mkuu upo mjini Magharib?Watu 70,000 sio mchezo,ni mkoa mzima wa mjini magharibi huku zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo mjini Magharib?Watu 70,000 sio mchezo,ni mkoa mzima wa mjini magharibi huku zanzibar
Hapo ndiyo kosa linapofanyika, ukiamua kufanya maamuzi kutokana na mechi badala ya kuangalia sheria na tukio husika lilivyo lazima utavurunda tuU
Utakua kolo wewe mqtch ya wanaume hii amna penalti za bahasha
Yule dogo kayoko choko tuHapo ndiyo kosa linapofanyika, ukiamua kufanya maamuzi kutokana na mechi badala ya kuangalia sheria na tukio husika lilivyo lazima utavurunda tu
Buguruni mvua imemalilizaMvua inapiga wapi mkuu, kigamboni darajani ambapo ni mita chache na uwanja ulipo kuna wingu tu.
Mkuu Yanga akishiñda kwa magoli mawili bila nicheki kuna hela ya vochaMakolo wamekuja kwa kukamia ila kipindi cha pili kigigo kipo juu yao.
Max ⚽
Aziz Ki ⚽
Dube⚽
Mchezaji anatakiwa akae muda gani mpaka kuruhusiwa kucheza mechi ijayo? Tuanzie hapa.1) Azizi Ki
2) Diarra
3)Chama
4) Musonda
5) Dube
6) Job
7) Bacca
8) Abuya
9) Mudathir
10) Mzize
11) Aucho
Hawa wote wametoka kucheza mechi za CAF juzi na kusafiri kuja kucheza derby. Hawa wachezaji ndio first eleven ya Yanga na ndio Sub ya Yanga. Simba wanacheza dhidi ya wachezaji wenye fatigue