FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

1) Azizi Ki
2) Diarra
3)Chama
4) Musonda
5) Dube
6) Job
7) Bacca
8) Abuya
9) Mudathir
10) Mzize
11) Aucho

Hawa wote wametoka kucheza mechi za CAF juzi na kusafiri kuja kucheza derby. Hawa wachezaji ndio first eleven ya Yanga na ndio Sub ya Yanga. Simba wanacheza dhidi ya wachezaji wenye fatigue
 
Anaandika Shaffih Dauda
IMG_4027.jpeg
 
Mvua inapiga wapi mkuu, kigamboni darajani ambapo ni mita chache na uwanja ulipo kuna wingu tu.
Buguruni mvua imemaliliza
Makolo wamekuja kwa kukamia ila kipindi cha pili kigigo kipo juu yao.

Max ⚽
Aziz Ki ⚽
Dube⚽
Mkuu Yanga akishiñda kwa magoli mawili bila nicheki kuna hela ya vocha
 
1) Azizi Ki
2) Diarra
3)Chama
4) Musonda
5) Dube
6) Job
7) Bacca
8) Abuya
9) Mudathir
10) Mzize
11) Aucho

Hawa wote wametoka kucheza mechi za CAF juzi na kusafiri kuja kucheza derby. Hawa wachezaji ndio first eleven ya Yanga na ndio Sub ya Yanga. Simba wanacheza dhidi ya wachezaji wenye fatigue
Mchezaji anatakiwa akae muda gani mpaka kuruhusiwa kucheza mechi ijayo? Tuanzie hapa.
 
Sasa Simba wamehamia kwenye goli la ushindi la Yanga. Penda usipende goals zitaanza kumiminika golini mwa Simba aka makolokocho fc
 
Back
Top Bottom