FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”°πŸ’šπŸ’š
 
Shida ulianza hapa
20241019_193511.jpg
 
Usajili wa dirisha dogo, Kocha FADLU apewe chance ya ku - point PLAYERS...
 
Kuna watu watamlaumu kipa, wengine Kijili Ila makosa yameanzia kwa Balua. Balua akipata mpira kwa eneo ambalo ni hatari kwa Simba Ila akaanza kuzubaa nao baadae akatoa pasi isiyo sahihi mpira ulivyorudu kubambika ndio likatokea Hilo tukio.
Mtu anayetakiwa kubeba lawama ni kocha. Sub zake hazikuwa na maana mechi ya kupata pointi yeye anawaza draw kwa kifupi hii timu ni kubwa Sana kwake.
Kuna wachezaji walionyesha wamechoka lakini aliwaacha Hadi mwisho.
 
Sasa wewe ndio umeongea ki sport. Hata mimi yanga nimeongea na jamaa hapa mtaani kwamba hilo kosa sio la kumlaumu Kijil wala Kipa
 
Back
Top Bottom