FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

We jamaa kama hauna kadi ya ccm unaikosea sana nafsi yako 😹😹😹😹 umekaa kisiasa za uongo uongo tu 🤣🤣🤣
Angalia ball mrembo wangu, utaniambia.
Azam leo tumewakaba kila mahali
 
Sopu Yellow kadi.
Yusuf Dabo (Kocha wa Azam), Yellow kadi
 
Nimeikumbuka ile Simba ambayo ikiwa inashambulia mashabiki wanashangilia in advance maana wanajua kinachofata. Msimu uishe tu tuone kama kutakuwa na mabadiliko.
 
Goooooooooooal...

Wameachiaaa
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…