Lugha imeanza kubadilikaNimebaini hakuna mchezaji Simba anayeweza kumzuia Kipre Junior na huyu Onana ana shida ya ubongo wake. Hayuko normal.
Wachezaji Simba wana akili za kitoto kabisa. Limekosa goli la wazi then linajifanya muscles zimemshika.
Ngoja nikatafute Wine 🍷 sasaAzam kafungwa
Kimoja kitamuuu nasikia tayari huko
Ulikuwa wapi? matopeni? au ulibebwa na mafuriko pale jangwani hadi usijue?Kumbe simba anacheza leo, mashindano ya nini maana nimeanglia app zote sijaona huu mchezo
Nimebaini hakuna mchezaji Simba anayeweza kumzuia Kipre Junior na huyu Onana ana shida ya ubongo wake. Hayuko normal.
Ila tuache utani beki ya Simba inakatika sana.
Kibu leo kawa poyoyo kabaisa. Ban.ge mbaya sana
Kama kuna kitu sipendi kwenye mpira ni kupoteza muda