Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Nahisi Benchika wa Simba anajuta kuja kwenye timu kama Simba haijielewi na haielewi inachofanya 😂😂View attachment 2975158
View attachment 2974960
Naitakia Simba Ushindi.
nguvumoja .
KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA
View attachment 2975502
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA
View attachment 2975503
Mpaka Sasa wamepata hasara ya Chama kuumiaSimba wamefanya kamari ya kijinga sana, chukua kombe ila bado haitapoza hasira za mashabiki kivile maana wengi wanaona ni kombe lisilokua na tija, ila atleast itawapa ahueni, ila sasa wakifungwa naona damage itakua kubwa sana kwa mashabiki kushinda hata wakichukua, unnecessary gamble imo!!
Ni majukumu yake kucheza, akiumia hakuna hasara maana alikuwa kazini. Unataka kusema Yanga wamepata hasara kucheza na Azam kwa kuwa Pacome aliumia?Mpaka Sasa wamepata hasara ya Chama kuumia
Uko sahihi, unahisi!Nahisi Benchika wa Simba anajuta kuja kwenye timu kama Simba haijielewi na haielewi inachofanya 😂😂
Kabisa. Sijawahi kuona Simba yenye wachezaji wasiojiamini kama hiiSimba ni ya kufumua kikosi. Tunahitaji new play makers pale kati kati.
Inategemea na umri wakoKabisa. Sijawahi kuona Simba yenye wachezaji wasiojiamini kama hii
Pacome karudi kwao wala hajaumia.Ni majukumu yake kucheza, akiumia hakuna hasara maana alikuwa kazini. Unataka kusema Yanga wamepata hasara kucheza na Azam kwa kuwa Pacome aliumia?