FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Malengo ya Yanga ni Kuifunga Simba, ndo maana mnakaza.ila kimataifa aachiwe tu Simba.
iyo kimataifa simba kafika wapi, zaidi anaishia robo na tarehe 23 atatueleza vzr
 
45+2' Kuelekea kuwa mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele ya bao moja

Ni Free Kick kuelekea Simba, inapigwa kulee lakini golikipa Manula anaruka na kudaka mpira ule.

Unarushwa mbele upande wa kushoto kuleee

Naaam mpira ni mapumziko

HT: Simba SC 1-0 De Agosto

Aggregate 4-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…