FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Acha ubwege wewe,mbona sisi Simba tulimpiga alhilal 4-1 alafu nyie mkamshindwa?

Ifike muda muwe mnakubal Simba sio level yenu ,nyie endeleen kumkamia kwenye lig wakat yeye Hana huo muda.
mlimpiga mashindano gani
 
Prediction yangu mapema sana.

1. Aishi Manura.
2.Islael Mwenda.
3. Mohamed Hussein.
4. Onyango Achieng.
5 Enok Enonga.
6. Jonas Mkude.
7. Osmane SACKO.
8. Sadio kanute.
9. Moses Philiph.
10. Clotus Chama.
11.Okra

Ila hiki kikosi hata robo fainali kufika ni kwa shida Sana.

Desember watafute majembe ma Tano tu 5.

1. Beki wa kati 1. Waachane na ottara futi 6
2. Beki mwenye uwezo wa 2/3.
3. Kiungo 6. Futi 6 CDM. Akpan ni 8.
4.Bado 8 Pana shida.
5. Washambuliaji 9.wawili futi 6

Pigs chini hao
Sako.
Banda.
Akpan.
Okwa.
Ottara.
Dejan.

Wakizingatia Huu ushauri Nusu fainali wanafika.
akili nukta hii.
 
De agosto wanafanya sub mbili

Kipindi cha pili kimeanza.
 
Leo ndo nimegundua Simba ni underdog kwa de agosto.jamaa washawai kutinga mpaka nusu caf champions[emoji123]
Kuwa underdog au favorite sio permanent status, inategemea na kiwango cha wakati huo kwa mujibu wa CAF. Mfano, kwa sasa Yanga ikipangwa na Namungo, CAF inaichukulia Yanga kama underdog kutokana na kuzidiwa points.
NB: Hata Simba ilishafika nusu fainali ya klabu bngwa Afrika
 
47' Kabumbu limeanza kipindi cha pili huku de Agosto wakifanya mabadiliko kwa wachezaji

Simba SC 1-0 De Agosto
 
Back
Top Bottom