FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Acha ubwege wewe,mbona sisi Simba tulimpiga alhilal 4-1 alafu nyie mkamshindwa?

Ifike muda muwe mnakubal Simba sio level yenu ,nyie endeleen kumkamia kwenye lig wakat yeye Hana huo muda.
mlimpiga mashindano gani
 
akili nukta hii.
 
De agosto wanafanya sub mbili

Kipindi cha pili kimeanza.
 
Leo ndo nimegundua Simba ni underdog kwa de agosto.jamaa washawai kutinga mpaka nusu caf champions[emoji123]
Kuwa underdog au favorite sio permanent status, inategemea na kiwango cha wakati huo kwa mujibu wa CAF. Mfano, kwa sasa Yanga ikipangwa na Namungo, CAF inaichukulia Yanga kama underdog kutokana na kuzidiwa points.
NB: Hata Simba ilishafika nusu fainali ya klabu bngwa Afrika
 
47' Kabumbu limeanza kipindi cha pili huku de Agosto wakifanya mabadiliko kwa wachezaji

Simba SC 1-0 De Agosto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…