FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Pamoja na kuongoza lakini mpira inaochezwa ni mbovu. Kuna makosa mengi sana ya umakini yanafanywa na Simba na hasa tatizo la kutofungua au mwenye mpira kutoiunua macho kuangalia waliofungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…