FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

36'
Simba SC Wanashambulia & Sakho Alichezewa Mpira Na Kukosa Maamuzi Ya Kufanya
 
Ngoja tuone kipindi cha pili labda yatatokea yale ya USGN
 
kuna wachezaji leo wanapata tabu ila tupate goli kwanza halafu huo udambwidambwi uje hivi hapa angekuwepo na Konde boy ingekuwaje dah
 

Nilisema simba haijaandaliwa kwa mfumo wa knock out. Hakuna unity kwenye team . Sako anaingia na mpira hadi 18 huku wachezaji wenzie wapo positon nzuri lakini anataka kuforce ashinde yeye . Ndio maana tulisema huu ndio mwisho wenu
 
Morrison kaamua kucheza na jukwaa, ni kama vile mwanamke anaetaka kumuonyesha Ex wake kwanini alimuacha.

Anatakiwa aonywe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…