FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Morrison kapiga cross lakini kipa kaokoa na kuwa kona

Kona inapigwa lakini haina madhara mpira unatoka na mwisho orlando wanarusha
 
Second half Simba wabadilishe mbinu, ikibidi wacheze long balls kina Morrison wapate nafasi za kukimbia, hizi short passes tunazocheza kwa jamaa walio organised kama hawa ni sawa na kujipotezea muda wenyewe, wanajua hatuna madhara hata kama tukikaa na mpira.
 
Wachezaji wanacheza as if ni simba day
 
SSC hana historia nzuri na matokeo nje ya kwa mkapa inatakiwa hapa ashinde nyingi awezavyo zimbebe kwenye marudiano
 
Tuna holding midfielder wawili, ngumu sana kushambulia au kutengeneza final ball, ila inakuwa ngumu kupata goli
Hao holding midfilders kwangu naona bora wabaki, hawa jamaa ni wazuri sana kwa counter attack, muhimu abaki mtu mmoja chini kuwasaidia mabeki.
 
Ata wale wa juzi kipindi cha kwanza walifanikiwa cha pili kidume akapumua vinne fasta
 
simba 59 orlando 41 lakini mpaka sasa hatujafanya lolote kutokana na wavhezaji wetu kukosa ubunifu wanapofika kwa wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…