Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,229
TFF gani mkuu?mpaka sasa VAR haijatumika na TFF imeingia gharama kufanikisha hili[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF gani mkuu?mpaka sasa VAR haijatumika na TFF imeingia gharama kufanikisha hili[emoji848][emoji848]
Sakho unamuona yuko vizuri?Doctor Peter Banda apumzike aingie Bwalya
Dah mkishinda mnasema yeye ndio kocha bora mkifungwa au kudroo mnampondaPablo ultacticaly uwezo wake ni mdogo hilo linajulikana kilichobakia hapa ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kuamua mechi.
Kama nakuona. Lol.Mtani tulia kwanza
Miezi tisa imefika?Kocha jaribu kujifungua basi unasubiri nini?
Kwa hiyo ndio wanasababisha msifunge?marefa wa leo waarabu ni wengi
😀😀😀Miezi tisa imefika?
Na viza ya Kule kanyimwa, hatoenda na wanamjua fika
Dah nimekoseaTFF gani mkuu?
Unateseka ukiwa wapiKipindi hiki cha pili sisi Orlando tumekuja kutafuta goal
Uwezo wenu mdogo mnaanza kutafuta vijisababu uchwaraSimba wameuza mechi nini?