FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Wawa anatengeneza mazingira ya goal orlando pirates wanasubiri nini.
 
**** raia wameingia na torch (LASER) bwana.

Leo Wawa naona yuko vizuri.
 
Hizi tochi tochi sijui kule SA watareact vp.
 
wajamaa wapo vzr pale nyuma hata mipira ya juu mingi wanaicheza wao
 
Back
Top Bottom