FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

kiukweli kabisa hivi UTOPOLO wanachofurahia ni nini SSC akitolewa kwenye haya mashindano watanufaika na nini[emoji848][emoji848]
 
45' Sub kwa Orlando pirates

Makaringe In, kabelo out

wakati huo Pirates wanapata kona inapigwa inatoka nje inakuwa ya kurushwa

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
jamaa wameanza na sub sio dalili nzur[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…