FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Kolo wameingiza mchezaji hata kutuliza mpira hawezi
 
Wawa anatengeneza mazingira ya goal orlando pirates wanasubiri nini.
 
**** raia wameingia na torch (LASER) bwana.

Leo Wawa naona yuko vizuri.
 
Hizi tochi tochi sijui kule SA watareact vp.
 
wajamaa wapo vzr pale nyuma hata mipira ya juu mingi wanaicheza wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…